Young killer aongelea maisha yake baada ya kuachana na lebel ya Classic sounds ya mona ganster kuhusu mabadiliko yake kimaendelea
kwanza naomba niwatoe wasiwwasi kuhusu maendeleo yangu kimafanikio naendelea vema niliondoka kwa mona nikiwa natembea kwa miguu na sasa ninamioiii gari yangu nilikuwa naishi kwenye chumba kimoja bt now nakaa kwenye upande mzima mwenyewe na vitu vingine naendelea kufanya
Young killer kwa sasa anatafuta meneja wa kusimamia kazi zake natunzo ziro Unit

Tags
Entertaiment