Davido akutana na Shabikii aliyejichora sura yake kifuani

Mwimbaji maarufu duniani Davido amemkaribisha shibiki wake kwenye familia ya HKN baada ya kijana huyo kujichora sura ya davido kifuani mwake

awali davido alivyoona picha ya kijana huyo akiwa amejichora hivyo aliwaomba watu wamtafute kijana huyo

pia davido alimzawadia cheni ya HKN

Post a Comment

Previous Post Next Post