iHali ya usalama sio nzuri huko zanzibar polisi wazingira ofisi za CUF hii imetokea mara baad ya maalim seif sharif ahmad kujitangaza ushindi dhidi ya mpinzani wake Dk. Mohamed SheinHali sio nzuri hapa Chake chake hii ni baada ya vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai kuwa wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa uraisi
FFU Wameingilia kati wakiwaonya wananchi hao watawanyike wakakaidi ndipo nguvu ya ziada ilipotumika ya mabomu ya machozi



