ISOME TAARIFA MPYA KUTOKA TIMU YA SIMBA



Katika kuendelea kufanya maboresho ya namna inaweza kufikisha taarifa kwa wapenzi na mashabiki wake kwa urahisi klabu yaSimba sc imeboresha zaidi application yake ambayo hapo awali ilikua ikipatika kwenye simu za android pekee hivi sasa unaweza kuipata pia kupia appstore.

Taarifa hiyo imetolewa muda mfupi uliopita kupitia mitandao yake ya kijamii ikiwemo instagram.



Post a Comment

0 Comments