Mgombea urais kupitia Tiketi ya CUF, maali seif Sharif Ahmad ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kusema kuwa baada ya chama chake kukusanya fomu zote za matokeo kutoka vituoni yeye amepata kura 200,007 dhidi ya kura 178,363 za mgombea wa ccm anayetetea nafasi yake Dk. Ali Shein
aidha akiongea na wanahabri maalim seif sharif ahmad ameitaka tume ya zanzibar (ZEC) Kutangaza matokeo halisi kama yatalivyo kwenye fomu zitakaopoka
Chanzo : DW SWAHILI
Post a Comment
0Comments
3/related/default