Tp mazembe imejielekeza Morocco jumapili ya jana Octoba 25 ambapo wamekwenda kujiandaa kwa fainali za ligi ya mabingwa jumamosi hii Octoba 31 dhidi ya al geria klabu USM Alger
Jumatatu hadi alhamisi timu itafanya kazi kikamilifu kwa kujiandaa vilivyo kuhusu fainali ninaimani kwamba kadiri ya mazowea yetu ndivyo itakuja kuwafurahisha mashabiki wa klabu hii alisema kocha
LCD Orange : TP Mazembe Huandaa Fainali ya kombe ya ligi ya mabingwa nchini Morocco
By -
October 26, 2015
0
Tags: