msimamizi wa uchaguzi jimbo la tarime mjini , mwanjombe limetangaza rasmi kuwa ester matiko (chadema) kuwa mshindi katika uchaguzi huu katika jimbo hilo
matiko amekuwa wa kwanza kutangazwa rasmi huku akiweka historia kubwa katika wilaya ya tarime mjini kuwa mwanamke wakwanza kuwa mbunge katika wilaya hiyo inayosadikika kuwa na mfumo dume hasa katika ngazi za familia
Bi matiko amepata jumla ya kura 20,017 na kumshinda mpinzani wake wa karibu kembaki michael mwita wa ccm aliyepata jumla ya kura 14,025
Post a Comment
0Comments
3/related/default