Header Ads Widget

TETESI ZA SOKA LEO JUMAPILI


 Tottenham, Aston Villa, Newcastle na Brighton wanatazamiwa kuungana na Manchester City na Manchester United katika mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Uholanzi Kenneth Taylor, 21, kutoka Ajax. (Teamtalk)

Manchester City wanamfuatilia chipukizi wa Argentina Claudio Echeverri, huku kiungo mshambuliaji wa River Plate, 17 akitajwa na wengine kama Lionel Messi ajaye. (Mirror)

Barcelona wanaweza kumwachilia mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski kama mchezaji huru mwishoni mwa msimu wa 2024-25 kwa sababu ya kipengele katika mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35. (Sport via Sun)

Tottenham wanamfuatilia kiungo wa kati wa Manchester City Kalvin Phillips, 28, kabla ya dirisha la uhamisho la Januari. (Football Insider)

Post a Comment

0 Comments