Header Ads Widget

LIST YA MAKOCHA KUMI WALIOTIMULIWA MSIMU HUU


 Imefika idadi ya makocha 10 wa Ligi Kuj ya NBC ambao tayari wameshaondoka kwenye timu walizoanzanazo msumimu huu 2023|24!


Kuna ambao walisitishiwa mikataba kutokana na matokeo mabaya, wapo waliojiuzulu wenyewe kwa sababu za kifamilia lakini pia kutokana na matokeo mabaya.

🇧🇷 𝐑𝐨𝐛𝐞𝐫𝐭𝐨 𝐎𝐥𝐢𝐯𝐞𝐢𝐫𝐚 ‘𝐑𝐨𝐛𝐞𝐫𝐭𝐢𝐧𝐡𝐨’ [Simba]
🇨🇩 𝐌𝐰𝐢𝐧𝐲𝐢 𝐙𝐚𝐡𝐞𝐫𝐚 [Coastal Union]
🇧🇮 𝐂𝐞𝐝𝐫𝐢𝐜 𝐊𝐚𝐳𝐞 [Namungo FC]
🇹🇿 𝐅𝐫𝐞𝐝 𝐌𝐢𝐧𝐳𝐢𝐫𝐨 [Tanzania Prisons]
🇹🇿 𝐙𝐮𝐛𝐞𝐫 𝐊𝐚𝐭𝐰𝐢𝐥𝐚 [Ihefu SC]
🇹🇿 𝐇𝐚𝐛𝐢𝐛 𝐊𝐨𝐧𝐝𝐨 [Mtibwa Sugar]
🇺🇸 𝐌𝐞𝐥𝐢𝐬 𝐌𝐞𝐝𝐨 [Dodoma Jiji FC]
🇺🇬 𝐌𝐨𝐬𝐞𝐬 𝐁𝐚𝐬𝐞𝐧𝐚 [Ihefu SC]
🇩🇪 𝐄𝐫𝐧𝐬𝐭 𝐌𝐢𝐝𝐝𝐞𝐧𝐝𝐨𝐫𝐩 [Singida Big Stars]
🇳🇱 𝐇𝐚𝐧𝐬 𝐯𝐚𝐧 𝐝𝐞𝐫 𝐏𝐥𝐮𝐢𝐣𝐦 [Singida Big Stars]

Kati ya hao ni Zuber Katwila pekee mabaye anafundisha timu ya Ligi Kuu [Mtibwa Sugar]. Je, unatamani kumuona Kocha gani akirejea tena kufundisha Ligi Kuu______________??
-------------------

Post a Comment

0 Comments