SAFARI YANGU YA AFRIKA KUSINI SEHEMU YA 12

Akawa yupo tu nikawa nataka nijiongeze nikawa najishtukia muda uliposogea akaniambia anajihisi usingizi nikamwambia njoo nikuoneshe pa kulala akajibu nitalala unapolala wewe dah rohoni nikafurai maana alikuwa kaumbika


Nikazuga nikamwambia tunalalaje wote jinsia tofauti? Akajibu itaeleweka huku anavuta anasema chumbani wapi bhana tukalale ikabidi nisiwaangushe watanzania acha niwawakilishe vizuri nisiuze mechi


Nikamwambia twende si umeamua? Tukaingia mpaka chumbani ghafla akanisukuma kitandani akakaa juu yangu akaanza utundu wake alikuwa fundi kitandani Kama kawaida ya wanawake wa ktswana walivyo watundu

Usiku ulikuwa mfupi mechi ilikuwa Kali nikasema ngoja na Mimi nimuoneshe kuwa Mimi mtoto wa kingoni kutoka songea Tanzania nilimpelekea magori mpaka mtoto akaomba mechi iishe


Hasubuhi kabla sijaamka yeye alishaamka akaniandalia chai Kisha akaniamsha nikanywa Kisha akaniuliza kijanja unataka mpambano Tena? Nikamwambia wewe tu Mimi nipo fiti mdawote akasema mmmmmmh utaniua bhana. Ilipofika mida ya saa nne akasema kuwa anaondoka nikamwambia kwenye gari yangu nikampeleka mpaka kwake


Alipofika Mimi nikarudi home kuendelea na shughuli zangu Kama kawaida mida ya jioni akanipigia akaniambia Jana umenifurahisha Sana show yako sijawai kutana nayo kabla kwenye maisha yangu naapa sitokuacha kamwe Ila pia Jana umeniuzi.... ITAENDELEA


Post a Comment

Previous Post Next Post