SAFARI YANGU YA AFRIKA KUSINI SEHEMU YA 11

Maisha yakaendelea nikawa nauza madawa Kama kawaida kukamatwa Ni kawaida ikawa mala kwa mala. kunasiku nipo mtaani nikakutana na yule dada wa uhamiaji niliekutana nae boder ambae alinipa namba yake

Yeye alianza kuniona akanishitua nikasimama akaniuliza unanikumbuka? Nikamjibu ndiyo nakukumbuka dah Ni kitambo nilipoteza Simi ndyomaana sikukutafuta akaniuliza unaishi wapi? Nikamwelekeza akaniambia anatamani afike apajue kwangu nikamjibu haina shida akanipatia namba yake Tena nami nikampa yangu

Ilipita Kama siku nne akanipigia kuwa anataka aje kwangu nikamjibu sawa uje jioni saivi sipo nyumbani. Ilipofika jioni saa Mona akanipigia Tena umesharudi? Nikamjibu ndiyo akasema Basi anakuja


Kweli nilimwelekeza akaja mpaka nyumbani nikamkaribisha ndani Kama kawaida akanisifia kuwa natunza nyumba vizuri amependa tukapiga stori saaana mpaka saa tano lakini akuonesha dalili za kubaka kuondoka... ITAENDELEA


Post a Comment

Previous Post Next Post