Homeafya Corona yaingia Cameroon byAdmin -March 06, 2020 0 Wizara ya Afya nchini Cameroon imetangaza leo March 06,2020 kuwa Mtu mmoja amethibitika kuwa na virusi vya corona nchini humo, Mtu huyo ni Raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 58 ambaye aliingia Cameroon February 24 mwaka huu. Tags afya Facebook Twitter