Usile vyakula hivi mda mchache kabla y tendo la ndoa

Admin
By -
0
Wakati hujajipanga juu ya mavazi utakayovaa bila shaka kunaweza kuwa na chakula cha pamoja kabla ya kwenda kulala ili kuongeza kidogo hali ya kuwa pamoja.
Sasa kama hujuwi ni chakula kipi ule na kipi usile muda mchache kabla ya hiyo mechi unaweza kupata shida au ukasababisha sherehe isikamilike!
Haya mimi leo nakuwekea hapa vyakula ambavyo hutakiwi kula muda mchache kabla ya mechi ili uwe na ufanisi mzuri, navyo ni pamoja na;
Bonyeza picha yoyote kuona kwa ukubwa zaidi na maelezo yake
[modula id=”1889″]
.
Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa
1. Maharage
2. Pilipili
3. Kitunguu swaumu
4. Nyama nyekundu
5. Viazi
6. Soda
Kumbuka nimesema hivi hutakiwi kula muda mchache kabla ya tendo la ndoa. Kumbe nyakati nyingine unaweza kuvitumia
.
Kumbe hivi vifuatavyo ni vizuri ukila muda mchache kabla ya mechi;
Bonyeza picha yoyote kuona kwa ukubwa zaidi na maelezo yake
[modula id=”1881″]
.
Kumbe hivi vifuatavyo ni vizuri ukila muda mchache kabla ya mechi
1. Kiazi pori (beets), 
2. Wali, 
3. Chokoleti nyeusi, 
4. Nanasi, 
5. Mvinyo mwekundu
Soma hii pia > Jinsi ya kuacha punyeto
Makala hii inaendelea kuongezwa maelezo zaidi na picha, endelea kuja

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)