TATIZO LA GARI KUKOSA NGUVU

Admin
By -
0

Mpenzi somaji wa blog yetu Leo tutaenda kujadili sababu zinazopelekea gari yako kukosa nguvu wengine husema gari inamiss

Katika gari kukosa nguvu kunakuwa na sababu tofauti miongoni mwa sababu ni Kama zifuatazo


Mfumo wa plag kuwa na tatizo
Haha naongelea kwa gari za petroli endapo utaona gari yako inakosa nguvu unatakiwa kuchunguza Kama plugs zako zinafanya kazi kwa ufasaha


Endapo plag zako zikawa zimechoka au moja yake imechoka utazitambua kwa kufanya hiviii

Washa gari acha ikiwa sailencer Kisha chomoa plag moja baada ya nyingine ukichomoa na ukakuta gari inazidi kukosa nguvu ujue hiyo plag n nzima ukiona umeichomoa na gari haijabadili muungulumo uje hiyo aifany kazi


Aiclener ikiwa na uchafu
Endapo airclener yako imejaaa vumbi hupelekea gari kukosa nguvu hivo Basi unashauliwa kuisafisha mala kwa mala


Petrol filter kujaa uchafu
Endapo filter yako ni ya muda mrefu inaweza ikajaa uchafu mwingi Hali itakayopelekea mafuta kupita kwa Tabu na kupelekea kukosa nguvu kwa gari yako

Kazi kubwa ya filter ni kuchuja uchafu uliopo kwenye mafuta usiende kwenye engine yako Kama itajawa na uchafu inamaana mafuta yatapita kwa Tabu


Kwa leo tuishie hapa tukutane siku nyingine

Pia ukiitaji kupata darasa kuhusu ufundi wa gari yako ili kuondoa matatizo madogo madogo yanayokusumbua njoo WhatsApp namb 0713861567


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)