
Hesabu za Singida United zilikuwa kuipata saini ya mshambuliaji Rashid Juma kutokana na ugumu wa kumpata nyota huyo wameshusha majeshi yao kwa Kaheza.
Ofisa Habari wa Singida United, Cales Katemana amesema kuwa mpango wa usajili kwa sasa ndani ya Singida United umepamba moto hivyo kama jina la nyota huyo limo kwenye ripoti ya mwalimu watamnasa.
"Tunasajili kwa mapendekezo ya mwalimu hivyo kama atatuambia tumsajili Kaheza tutazungumza naye kwani hakuna kinachoshindikana kikubwa ni kuwa na timu bora itakayoleta ushindani," amesema
Tags
Michezo