Mazoezi ya kutanua kifua na kupata six pack bila kwenda gym
By -
November 04, 2018
0
He ulitamani kuwa na kifua kizuri na kupata six pack lakini huna vifaa..?
Ni rahisi angalia mazoezi picha ni na uyafanye angalau mala tano kwa wiki ili kuweza kupata matokeo mazuri ukiangalia picha hii chini ni Mimi baada ya kufanya mazoezi hayo kwa muda wa wiki name tuu
Kwenye mazoezi kikubwa ni uvumilivu mafanikio hayaji kwa urahisi kikubwa kupambana
Tags: