MTOTO WA NABII TITTO AFUNGUKA KUHUSU BABA YAKE

Baada ya kujipatia umaarufu mkubwa kutokana na aina ya uhuburi wake nabii titto alifanikiwa kuwa na ufwatiliwajo mkubwa hasa kwenye mitandao ya kijamii

baada ya hayo yote hatimae mwanae wa kiume afunguka na kukili kuwa baba yake amekuwa akihubili taarifa zisizo na ukweli ndani yake 

               mtazame hapa nabii titto akitoa maelezo ya kupotosha

Post a Comment

Previous Post Next Post