BREAKING NEWS:NABII TITTO APANDISHWA KIZIMBANI DODOMA

Baada ya kumkamata na kudai huenda ni kichaa, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma leo limemfikisha mahakamani Onesmo Machibya maarufu kama Nabii Tito. Haijafahamika kosa analoshtakiwa nalo.

Post a Comment

Previous Post Next Post