Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Jaji Semistocles Kaijage |
Leo Novemba 26 2017 ni Siku ya Uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 Tanzania. Uchaguzi huu unafanyika kujaza nafasi zilizo wazi katika kata hizo Baada ya Madiwani waliokuwepo Kufariki, Kujiuzulu na wengine Kutenguliwa na Mahakama.
Zifuatazo ni Kata ambazo Zitafanya uchaguzi:
1.ARUSHAHalmashauri ya Wilaya ya Arusha = MusaHalmashauri ya Jiji la Arusha = MurietHalmashauri ya Wilaya ya Meru = AmbureniHalmashauri ya Wilaya ya Meru = NgaboboHalmashauri ya Wilaya ya Meru = MaroroniHalmashauri ya Wilaya ya Meru = LegurukiHalmashauri ya Wilaya ya Meru = MakibaHalmashauri ya Wilaya ya Monduli = Moita2.DAR ES SALAAM Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni = MbweniHalmashauri ya Manispaa ya Temeke = KijichiHalmashauri ya Manispaa ya Ubungo = Saranga
3.DODOMA Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa = Chipogolo
4.GEITA Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’wale = Bukwimba
Halmashauri ya Wilaya ya Geita = Senga
5.IRINGA
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa = KitwiruHalmashauri ya Wilaya ya Kilolo = Kimala
6.KILIMANJARO Halmashauri ya Manispaa ya Moshi = BomambuziHalmashauri ya Wilaya ya Hai = MnadaniHalmashauri ya Wilaya ya Hai = Machame MagharibiHalmashauri ya Wilaya ya Hai = Weruweru
7.LINDI Halmashauri ya Manispaa ya Lindi = ChikonjiHalmashauri ya Wilaya ya Ruangwa = Mnacho
8.MANYARA Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ = Nangwa
9.MBEYA Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe = Ibighi
10.MOROGOROHalmashauri ya Wilaya ya Morogoro = KilokaHalmashauri ya Wilaya ya Malinyi = Sofi
11.MTWARA Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba = MilongodiHalmashauri ya Manispaa ya Mtwara = Mikindani ReliHalmashauri ya Mji wa Masasi = Chanikanguo
12.MWANZA Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi = KijimaHalmashauri ya Jiji la Mwanza = Mhandu
13.RUKWA Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga = Sumbawanga
14.RUVUMA Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru = LukumbuleHalmashauri ya Wilaya ya Tunduru = KaluluHalmashauri ya Wilaya ya Mbinga = Muongozi
15.SINGIDA Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi = Siuyu
16.SIMIYU Halmashauri ya Wilaya ya Maswa = Nyabubinza
17.SONGWE Halmashauri ya Wilaya ya Momba = Ndalambo
18.TABORA Halmashauri ya Wilaya ya Nzega = NataHalmashauri ya Wilaya ya Urambo = Muungano
19.TANGA Halmashauri ya Mji wa Korogwe = MajengoHalmashauri ya Wilaya ya Lushoto = LukuzaHalmashauri ya Wilaya ya Bumbuli = Mamba.