Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt John
PombeMagufuliamemuomba Rais wa Uganda kuwapa tuzo wasomi wote waliogudua uweko
wa mafuta nchini humo.
Dkt Mgafuli ametoa wito huo leo Alhamisi Novemba 9
katika
eneo la Mtukula wakati kihutubia mimia ya wakazi wa eneo hilo wakati wanashiriki
tukio la kuwekwa jiwe la msingi la ujenzi wa mafuta ghafi kutoka nchini Uganda
mapaka Bandari ya Tanga nchini Tanzania.
Amesema kuwa kuwatoa tuzo kwa watu waliofanya jambo
jema ni kuonesha kumkukumbu yao,
“Mheshimiwa Rais Mseveni sisi kwetu (Tanzania ) huwa
tunatoa tuzo kwa sanasiasa waliofanya mema (zile kamati ziliozohusika na
utafiti wa mchanga wa makininia na ile kamati iliosimamia mazungumzo na Kampuni
ya Barrick Corp.) hivyo nakuomba uwape hawa vijina waliogudua mafuta kama
kumbukumbu kwao”. Alisema Dkt Magufuli.
Rais Magufuli wamewapongeza vijna hao kwa kwa
kuonesha kutumia elimu yao vizuri kwa
manufaa ya taifa lao.
“Vijna hawa uliwapeleka nje ya nchi kusoma na
wakapata elimu, sasa wameonesha uzalendo kwa ugundu huu wa mafuta amboa
haujawahi kugunduliwa tangu kuumbwa kwa Uganda”. Amesesisitiza Rais Magufuli.
Aidha Rais Magufuli amemshukuru Rais Mseveni kwa
maamzi ya kupitisha mradi huo wa bomba la mafuta nchini Tanzania huku
akimhakikishia kuwa Tanzania iko Salama
hivyo bomba hilo litakuwa salama wakati wote.
Kwa upande wake Rais wa Uganda Yoweri Mseveni
amesema kuwa maradi huo utanufaishi nchi
hizi mbli na kuwataka wananchi kuchangamkia fursa hiyo ili kujipatia kipato na
kuinua maisha hayo.
Tags
Kimataifa