TAARIFA YA SPIKA WA BUNGE KUHUSU MBUNGE ALIYE JIUZURU

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema amepokea barua ya Katibu Mkuu CCM ikimuarifu kuwa walishaanza kumchukulia hatua Nyalandu kutokana na kauli na vitendo vyake. Ambapo CCM imeeleza kuwa Oktoba 30 walimuandikia Spika barua kuwa, Nyalandu amepoteza sifa za uanachama wake na kwamba wamemvua nafasi zote za uongozi, hata hivyo Spika amesema kuwa hajapokea barua ya kujiuzulu kwa mbunge huyo.

Post a Comment

Previous Post Next Post