MCHORO WA YESU WAUZWA GHALI ZAIDI DUNIANI



Image result for mchoro wa yesu
Mchoro wa Yesu
Mchoro wa  Yesu unaoaminika  kuchorwa na Mchoraji maarufu Leonardo da Vinci, Miaka zaiadi ya 500 iliopita umeuzwa kwa  kima cha dola milioni 450 mijini New York.

Mchoro huo unajulikana0  kama Salvator Mundi ikiwa na maana ya Mkombozi wa Dunia na ndio mchoro wa bei ya juu zaidi kuwai kuuzwa kwa mnada.

Mchoraji hyo Leonardo da Vinci alifarika mwaka 1519 na kuna chini ya michoro yake chini  20  iliyobaki na  huo mmoja tu unaoaminiwa kuwa mikononi mwa mtu ambao unaamimiwa kuwa ulichorwa baada ya mwaka 1505.

Mwaka 1958 mchoro huo uliuzwa kwenye soko la mnada mjini London kwa Dola 60. Wakati huo mchoro huo uliaminiwa kuwa kazi ya mfuasi wa Leonardo na wala haukuwa wa Leonardo mwenyewe.

Miaka minne iliyopita mchoro huo ulinunuliwa na raia wa Urusi kwa dola milion 127.5 lakini wakati huo haukuuzwa katika mnada.

Post a Comment

Previous Post Next Post