BREAKING NEWS:MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA MJINI AFARIKI DUNIA

Mbunge wa jimbo la songea mjini kwa tiketi ya CCM  Mh Gama afariki dunia katika hospitali ya mission ya PERAMIHO iliyopo mkoani Ruvuma usiku wa saa saba kuamkia leo

SWAHIBA BLOG inafuatilia zaidi taarifa tutaleta baada ya muda mchache..

Post a Comment

Previous Post Next Post