iMbunge wa zamani wa Kigoma Kusini (2010-2015), David Kafulila amejivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa madai ya kutokuwa na imani tena na upinzani katika kupambana na ufisadi.
Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde
Tags
Kitaifa