Homa ya Pamabano la watani wa jadi Simba na Yanga, inaziti kupanda, wachezaji na mashabiki huku ikisalia saa tano mtanange huo kuanza,
Mchezo huo unaobaba hisia za wapenda soko kote Tanzania unatarajiwa kuchezwa leo Oktoba 28, 2017, kwenye uwana wa Uhuru maarufu Shamba la Bibi jijini Dar es Salaam
Mechi zilizopita timu hizo lizipata matokeo, Simba iliitandika bila huruma Timu ya Njombe Fc 4-0 na siku inayofuata Watani wao Yanga wakaiadhibu Stand United ya Shinyanga kwa 4-0
Kocha wa Simba Joseph Omog aliipeeka time yake vsiwani Zanzibar, huku Yanga wakiweka kambi mjin Morogoro chini ya Kocha woa George Lwandamina.
"Nimeifunga Yanga Mara Mbili na Kutoa sare Moja katka mechi nilizocheza nikiwa kocha wa Simba kwa hivyo rekodi inanibeba" Amesema kocha Omog
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Yanga , Bw. Dismas Ten amesema hana hofu na Simba kwa kuwa kikosi chake kiko Imara.
"Sina hofu, na Simba sisi tutapambana kupata matokeo mazuri ili tusonge" amesema Ten.
Katika Mchezo Huo wachezaji wanaotarajiwa kuwa kivutio kwa mashabiki ni Mkongwe Emmunel
Okwi wa Simba na Ibrahimu Ajib kulingana na ushindani wao.
Tags
Michezo