nyumba ya profesa jay yabomolewa

msanii na mbunge wa jimbo la mikumi JOSEPH HAULE (PR JAY)   amebomolewa nyumba yake na tanrod baada ya kujenga barabarani

kupitia ukurasa wake wa instagram msanii huyo amesema nyumba yake imebomolewa na watu wa Tanroads bila ya kumpa taarifa

amesema kipindi wanafanya zoezi hilo yeye alikuwa jimboni kwake mikumi na hakuwa na taarifa ya kuwa wanakuja kubomoa nyumba yake hatua iliyo msikitisha

mbaya zaidi anasema wamebomoa mudaambao kisheria siyo muda wa kazi na walitakiwa wampe taarifa lakini hawakufanya hivyo

baada ya kutokea kwa tukio hilo yeye amesema amelipokea kwa mikono miwili ingawa limemuumiza kupoteza nyumba na baadhi ya vitu vyake na amechukulia kama changamoto za maisha 

Post a Comment

Previous Post Next Post