MATOKEO YA MECHI ZA LEO

Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Uingereza klabu ya Chelsea hii leo ikiwa nyumbani imechomoza na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Watford na kupanda katika msimao wa Epl hadi nafasi ya nne kwa kuwa na pointi 16.

Kikosi cha Chelsea:  Courtois; Rudiger, Luiz, Cahill; Azpilicueta, Bakayoko, Fabregas, Alonso; Pedro, Morata, Hazard.

Waliyokuwa benchi: Caballero, Christensen, Ampadu, Zappacosta, Musonda, Willian, Batshuayi

Na kwa upande wsa kikosi cha Watford: Gomes; Mariappa, Kabasele, Britos; Femenia, Cleverley, Doucoure, Holebas; Pereyra, Deeney, Richarlison.

Waliyokuwa benchi: Karnezis, Wague, Janmaat, Watson, Capoue, Carrillo, Gray

Pia katika mechi nyingine timu ya manchester united imekubali kipigo cha gori mbili kwa moja kutoka kwa Hulderfied katika mchezo ambao ulichezwa katika uwanja wa Huldrrfield

Post a Comment

Previous Post Next Post