IRINE UWOYA ASIBITISHA KUFUNGA NDOA NA DOGO JANJA

Msanii wa bongo muvie Irine Uwoya asibitisha kuwa amefunga ndoa na dogo janja

hii imekuja baada ya ukimya wa siku kadhaa watu wengi walizani ni muvie lakini hatimae kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo asibitisha huku akisema dogo janja ni mwanamme wa ndoto zake kitambo

Post a Comment

Previous Post Next Post