BREAKING NEWS:ACACIA WASEMA HAWANA PESA DOLLA MILIO 300 KUILIPA TANZANIA KAMA ILIVYO TANGAZWA

Mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya ACACIA amesema kampuni yao haina pesa dolla milioni 300 kulipa kwa serikali ya Tanzania

hatua hii imekuja baada ya jana kuwepo kwa taarifa ya kutiana saini ya makubaliano ya malipo ya asilimia hamsini kwa hamsini

katika makubaliano hayo kampuni hiyo ya madini ilikubali kutoa pesa shilingi bilioni 700 kitu ambacho mkurugenzi wa ACACIA amesema hawana pesa

Post a Comment

Previous Post Next Post