ALIYE KUWA MUME WA FROLA MBASHA AFUNGUKA KUHUSU MPENZI WAKE MPYA

Emanueli mbasha ambae alikuwa mume wa mwanamuziki wa injili madaam frola afunguka kuhusu mahusiano yake mapya

akiongea na EATV mbasha amesema kwa sasa yupo single na hana mahusiano na mwanamke yoyote

kuhusu kuoa amesema haja fikia na hawezi kuoa kwaajili ya kumuumiza mtu




Post a Comment

Previous Post Next Post