MTOTO AZALIWA NA MENO SABA MDOMONI

Admin
By -
0

Madaktari nchini India walazimika kumfanyia upasuaji kumtoa meno mtoto wa mwezi mmoja

mtoto huyo amekutwa na meno saba mdomoni ambayo alizaliwa nayo

wazazi wake walimgundua mtoto huyo kuwa na meno mdomoni wakaamua kumpeleka hospitali ndiko wakaamua kumfanyia upasuaji kuyatoa

mtoto kuzaliwa na meno ni jambo la badra hatua iliyopelekea kuamua kumfanyia upasuaji ili kuyatoa

madaktari wamesema hawana uwakika kama waweza kathiri ukuaji wa meno yake siku zijazo

Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)