Baada ya kushambuliwa kwa risasi kwa mbunge wa singida mashariki mh Tundu lisu mjini dodoma na hatimae mashambulizi yaendelea mjini dar
meja mstaafu jeneral vincent mtaraba ameshambuliwa kwa risasi nje ya nyumba yake katika maeneo ya tegeta mjini dar es salaam
mpaka sasa haija fahamika ni akina nani na kwanini wametekeleza shambulio hilo
katika shambulio hilo meja huyo amepigwa risasi miguuni begani pamoja na tumboni likini afya yake yaendelea vizuri
Pia katika tukio jingine watu wasio fahamika jana usiku walivamia offisi ya wakili wa manji na kubeba kabati linalo hifadhi nyaraka pamoja na fedha kisha kutokomea kusiko julikana.