Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo chadema Dr mashinji agoma kujisalisha kama alivyo takiwa
dokta mashinji alitakiwa kujisalimisha kituo cha polisi kwaajili ya kuwapa polisi msaada wa kiuchunguzi
mashinji amesema atakapo pata muda atakwenda kwakuwa hajaambiwa kuwa aripoti lini na muda gani kwahiyo na yeye atakwenda siku yoyote
mashinji anatakiwa kuripoti ili kutoa ushilikiano kufuatia kushambuliwa kwa mbunge wa sungida mashariki Tundu lissu mjini dodoma na watu ambao hawaja fahamika mpaka sasa
pia taarifa kutoka chadema zinasema lissu anaendelea salama na ameweza kuongea akiwa hospitali ya Agha khan nchini kenya