Baada ya kutokea kwa shambulii la risasi dhidi ya tundu lissu chama cha chadema kilitangaza kuitaji uchunguzi kutoka nje kwakuwa hawana imani na jeshi la polisi
kufuatia hatua hii kaka wa Tundu lissu ambae nae ni mwanasheria alisema familia ina imani na jeshi la polisi katika uchunguzi
alisema kama familia hawajakaa lakini anaimani na jeshi la polisi nchini kuwa linaweza kufanikisha uchunguzi dhidi ya tukio la ndugu yao
amesema pia familia itakaa tena na itakuja na mapendekezo yao kuhusu swala zima la uchunguzi wa kushambuliwa Tundu lissu
pia amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa haraka ili kuwabaini walio fanya tukio hilo la kutaka kutoa uhai wa ndugu yao