MBUNGE WA CHADEMA ESTER BULAYA AKAMATWA NA POLISI



Mbunge wa chadema Ester Bulaya akamatwa na polisi mkoani Mara

mbunge huyo amekamatwa kwenye hoteli ya kifa best point kwa amri ya mkuu wa wilaya ya tarime Glorious luoga

mbunge huyo alikamatwa akituhumiwa kuwa alikuwa akijiandaa kwenda kufanya mkusanyiko husio wa halali


Post a Comment

Previous Post Next Post