faida za kunywa maji kwa binadamu

katika jamii yetu watu wengi tukekuwa na utaratibu wa kunywa maji mpaka mwilo uoneshe kuitaji maji


kumbe maji yanaitajika mwilini kwa muda woote kwakuwa yanafaida nyingi mfano

KUSUKUMA DAMU
kwakiasi kikubwa damu hutegemea maji ili ifanye kazi vizuri katika mwili wa binadamu na hata mnyama pia

HUSAIDIA KUBORESHA NGOZI
maji husaidia saana kuboresha ngozi na kukifanya wa kuvutia husaidia kuilainisha ngozi pia na kupunguza uchafu pia

HUPUNGUZA MAUMIVU YA KICHWA
watu wengi uhugua maumivu ya kichwa kwa kuto kunyw maji ya kutosha mtu hujikuta ana pata maumivu ya kichwa mara kwa mara


HUSAIDIA KATIKA NGUVU ZA KIUME
pia maji.ni.mchango mkubwa katika ufanisi wa tendo la ndoa.kwa mwana mume kwakuwa ili uume usimame mwanamme anaitaji damu isafiri kwa haraka na damu bila maji haiwezi kusafiri vizuri hivyo basi una shauliwa kunywa maji kwa wingi ili kuboresha afya yako


Post a Comment

Previous Post Next Post