burundi raisi amchagua mfanyakazi wake wandani kuwa mfanyakazi bora

raisi piere nkurunzinza alishangaza wengi alipo mtaja mfanyakazi wake wa ndani kama mfanyakazi.bora wa mwaka

hatua hiyo ilichukuliwa na raisi nkurunzinza wakati wa maadhisho.ya siku ya wafanyakazi duniani may mosi

baada ya hatua iyo.wafanyakazi wengi walionesha kuto furaishwa na kilichofanywa na mh raisi


Post a Comment

Previous Post Next Post