Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona na waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba ambao wanatumikia kifungo cha nje pamoja na kufanya usafi katika hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam, wamepewa kazi nyingine ya kusaidia kuongeza ufanisi ofisini. Mawaziri hao wa zamani sasa wamepangiwa kazi ya kutoa ushauri elekezi wa kitaalam katika maeneo mbalimbali ya kiutendaji katika hospitali hiyo ikiwa ni pamoja na masuala ya bajeti
Tags
Kitaifa
