Kanye West athibitisha collabo na Drake na Future

Rapa Kanye West amethibitisha kuwa ana wimbo na wasanii Drake na Future.
Kanye amethibitisha kuwa Drake katoa ushirikiano kwenye nyimbo mbili kwenye album mpya ya ‘The Life of Pablo’ “I wanna thank my brother Drizzy for helping me on ’30 Hours’ & ‘Father Stretch My Hands,Future also came by to write. We all got new shit together that’s gonna drop soon.”
Album mpya ya Kanye West ni miongoni mwa kazikubwa zinazosubiriwa kwa hamu.

Post a Comment

Previous Post Next Post