Rihanna ameshindwa kufanya show kwenye tuzo za Grammy na kutoa taarifa dakika za mwisho kabisa.
Kwa mujibu wa TMZ, RiRi alifika kwenye show, alifanya mazoezi ila alishindwa kufanya show.
Rihanna anaumwa na bronchitis na anatumia dawa kwa sasa, kwa ushauri wa daktari asingetakiwa kufanya show sababu ingemletea madhara zaidi.
Rihanna alipewa mapumziko ya sauti ya saa 48 na daktari.