Diwani aliyekuwa akigombea udiwani kwa tiketi ya ccm mkoani morogoro wilaya ya mvomero amefariki jana jijini dar es salaam alipokuwa kimatibabu
Mwili wake umewasili leo mvomero kijiji cha makuyu kwaajili ya maziko hapo kesho
sisi sote ni wa mola na kwake tutarejea
Tags
Kitaifa