SABABU YA SHILOLE KUJICHORA TATOO YA NUHU KWENYE ZIWA LAKE IMEGUNDULIKA

Mrembo zuwena shilole ambaye ni staa wa muziki na bongo muvi ametoboa siri ya kujichora Tatoo ya Mwandani wake Naftari Mlawa "Nuh" asema alifanya hivyo ili kumpa iman mwanaume huyo kuwa anampenza sana
akizungumza na gazeti hili Juzi kati shilole alisema kuwa mpenzi wake huyo hakuwa akiamini kuwa anampenda licha ya ukweli kwamba hata yeye alikuwa amechora tatoo yenye jina lake

Nuh alikuwa haamini kama kweli nina mapenzi ya dhati kwakeniliamua kuchora tattoo yenye jina lake ili aamini kama na mpenda na sasa ameamini mapenzi yetu yameimarika kuli mwanzoni amejiona ni mtu muhimu sana kwangu hata mwanaume yeyote akiona nimejichira jina hili lazima ashtuke na kujua kama kuna mtun nina pendana nae alisema shishi

Post a Comment

Previous Post Next Post