Hali ni tete huko Tunduma wawili wauawa baada ya kutokea vurugu mmoja kutoka chadema na mmoja Ccm vijana wa ccm waliweka mawe ili kuzuia msafara wa chadema ndipo vijana wa chadema walipofika wakashuka ili kuondoa mawe hayo akatokea kijana mmoja wa ccm na kumchima kisu kijana mmoja wa chadema ndipo vijana wachadema wakamvaa na kumpiga hadi kufa
chanzo Muungwana blog