Mtoto wa kiume wa kwanza wa rapa 50 Cent ‘Marquise Jackson’ amesema anampango wa kubuni mavazi yake na kujingiza kwenye biashara ya muziki.
Akiongelea mahusiano na baba yake Marquise anasema “mimi sina tatizo na kuwa karibu na baba yangu ila ipo siku tuta panga kuweka mahusiano yetu sawa, mahusiano yetu bado mabovu sana ”
50 cent hajawahi kuwa karibu na huyu mtoto wake na hata alivyohitimu shule ya sekondari 50 Cent hakwenda kwenye mahafali.
