wanger aongea na stan kuhusu mkataba wake mpya

Admin
By -
0

kocha wa arsenal amefanya mazungumzo na mmiliki wa arsenal kuhusiana na mkataba wake

mkataba wa kocha huyo unafikia kikomo msimu huu kwaiyo wanafanya mazungumzo kujua wanafanyaje

kocha huyo amekaa klabuni hapo kwa miaka 21 anakumbwa na wakati mgumu kutoka kwa mashabiki ambao wanamtaka aondoke katika timu hiyo

mbaya zaidi baada ya miaka nane arsensl imeshindwa kupata nafasi ya kucheza klabu bngwa hali inayo umiza saana mashabiki wa arsenal kiasi cha kumbebea mabango kudai.aondoke klabuni hapo


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)