papa aingia kwenye boti na kumjerui mvuvi
By -
May 29, 2017
0
nchini australia mvuvi amesimulia jinsi papa alivyo ruka na kuingia kwenye boti
mvuvi huyo trey selwood miaka 73 alikuwa baharini akivua samaki ghafla papa huyo akaruka na kuingia ndani ya boti
anasema papa huyo mwenye kilo miambili alimjerui na kumtoa damu nyingi saana
baada ya papa kuingia alimzidi nguvu ndipo alipo piga kelele na watu walio kuwa karibu wakaja kumwokoa
akiongea na shilika la habari la ABC.mvuvi huyo anasema miaka yote aliyo fanya uvuvi hakuwai kukutana na tukio kama hilo tukio hili ni la kwanza kwake
Tags: