kamanda wa polisi mkoani mwanza amesibitusha kutokea tukio la baba kumkata makalio mwanae
kamanda DCP Ahmed msangi alisema kuwa wanamshikilia mtuhumiwa Nuhu james (50) kwa tuhuma za kumjerui kwenye makalio kijana ndalo.nuhu (14)
chanzo cha tukio hilo inadaiwa ilikuwa majira ya 11:00 alfajiri mtuhumiwa alimfunga kamba miguu na mikono kisha kumchapa kwa fimbo mtoto huyo na kisha kumkata na kisu sehemu za makalio akimtuhumu kwa utoro wa shule
mama wa mtoto huyo ambae ni mwanafumzi wa shule ya sekondar ya igoma baada ya kuona mwanae hali yake inazidi kuwa mbaya ndipo tarehe 28may mama huyo akaamua kutoa taarifa za tukio hilo
kamanda wa polisi amesema mtuhumiwa wanae na wanaendelea na uchunguzi zaidi
Post a Comment
0Comments
3/related/default