awajerui watarii kwa kisu mjini zanzibar

Admin
By -
0

mtu mmoja ambae jina lake halija faamika amewajerui watarii jana mjini zanzibar kwa kisu

akiongea na wanahabari.mkuu wa polisi amesema mtu huyo alikuja katika mgahawa wa luckman kwaajil ya kupata chakula majira ya saa 1:20 usiku ghafla akachomoa kisu na kuanza kushambulia watu walio kuwepo pale

amewataja walio jeruhiwa kuwa ni mauget gerarol raia wa ufaransa,jenifer wolf raia wa ujerumani na Anna cathalina mjerumani pia

mtuhumiwa baada ya tukio alikimbia kutoka eneo la tukio alipo fika mbele akawashambulia watu wengine ambao ni Hassan abdala mtanzania,liying liang raia wa kanada pamoja na sajad hasan mtanzania

kamanda wa polisi amesema walio jeruiawa wamesha patiwa matibabu na wameruhusiwa kasoro mauget gerarol ambae bado anapatiwa matibabu


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)