nchini somaria mtu mmoja alikutwa na hatia ya uzinifu na mahakama moja ya kiislam nchini humo
baada ya kukutwa na hatia hiyo wanamgambo wa alshaababu waliongoza azabu ya kumshambulia na mawe mpaka kufa
mwanaume huyo dayon muhamad miak 44 alikutwa na kosa la kumpa mimba mwanamke ambae hakumuoa huku yeye akiwa na wake wawili wa ndoa
adhabu kama hizi nchini somaria ni zakila mara watu huadhibiwa wakikutwa na makosa ya udhinifu
mwaka 2014 kijana mmoja alipigwa na mawe mpaka kufa baada ya kukutwa na kosa la ubakaji
mara nyingi mahakama nchini somaria uhukumu kifo kwa wazinifu mara wanapo kutwa na hatia
Post a Comment
0Comments
3/related/default