baada ya timu ya yanga kuifunga timu ya toto ya mwanza matokeo hayo yamekuwa msiba na maumivu kwa maasimu wao simba
simba ilikuwa ikiiombea kufungwa yanga ili mambo yawe safi kwao matokeo yake yanga imeshinda gori moja kwa bila na kuukaribia ubingwa wa VPL
simba ilikuwa inaimba matokeo mabovu kwa yanga ili wajiakikishie ubingwa baada ya kuukosa kwa muda mrefu
simba ambayo juzi juzi imepata mzamini mpya ambae ni kampuni ya sportpesa kutoka kenya walikuwa wanaomba toto ishinde kwa udi na uvumba lakini yanga kachomoza na ushindi
Tags
Michezo